Bow Wow amchumbia msanii huyu mkubwa
Erica Mena.
Erica Mena aliweka wazi hatua aliyopiga na Bow Wow wakati anafanya mahojiano na ThisIs50 kwenye red Carpet ya BET Hip Hop Awards 2014, Jumamosi iliyopita huko Atlanda.
Mtandao huo alipotakiwa kuthibisha kama Bow Wow ni mpenzi wake au la, alifunguka zaidi kwa kuonesha pete ya uchumba na kueleza kusema, ‘he’s actually my fiancĂ©.”
