Curtis “50 Cent” Jackson anarudi tena na “POWER Season 2″

Curtis-50-Cent-Jackson-and-Omari-Hardwick__140611194439
Executive Producers wakiongozwa na Curtis “50 Cent” Jackson, Mark Canton, David Knoller na Randall Emmett,  wameanza upya production ya SEASON 2 ya SERIES matata sana ambayo
imefanyika Season moja tu yenye episode 8 ijulikanayo kama POWER. Production hiyo imeanza mwanzoni mwa mwezi September ambayo inafanyikia mjini NEW YORK ambapo ni nyumbani kwa studios zinazosimamia production hiyo “Steiner Studios in Brooklyn.”
POWER ni series ambayo imeonyesha dunia 2 tofauti ambazo ni dunia ya nguvu na madaraka ambayo yanasababishwa na usambazaji haramu wa madawa ya kulevya “Brutal Drug Trade”, pamoja na jitihada za James “Ghost” St. Patrick (Omari Hardwick) anavyojitahidi kutaka kutoka kwenye biashara hiyo na kuishi maisha halali kwa kuendesha CLUB.

“Power is a project extremely close to my heart and working with Chris Albrecht, Carmi Zlotnik and the Starz team has been the perfect fit for this, Viewers may be loving the start of Season 1 now, but Season 2 will blow them away.” – Curtis “50 Cent” Jackson

Popular Posts