Kanye & Kim waamua kuuza nyumba yao ya “Bel Air”
$11 million tu, nyumba ambayo waliinunua kwa $9M na kuifumua kwa matengenezo ambayo hayajaisha kwa mpango wa kuhamia katika nyumba hiyo baada tu ya kujua ujio wa baby “North” mwaka 2013.
Mr Kanye & Mrs Kim West wameamua kuuza nyumba hiyo na kununua nyingine ambayo ipo karibu kabisa na Kris Jenner mama wa Kim mitaa ya Hidden Hills, ambapo wametumia kiasi $20 million kwenye nyumba mpya nzuri na wala isiyohitaji matengenezo yoyote.
