Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki
Side amefikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.
Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.
Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua’.