Skip to main content
Orodha Ya Nyimbo Kwenye Album Mpya Ya Chris Brown
Album
mpya ya Chris Brown X inatoka September 16 na tayari Chris Ametoa kazi
mpya aliyomshirikisha rapper Kendrick Lamar. Album itakuwa na nyimbo 21
na imeshirikisha wasanii kama Kendrick Lamr,Trey Songz,Akon,Aaliyah ,R
Kelly na wengine wengi.