@Aytanzania aanza kushoot video mbili huko Marekani
Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.a
Good News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti & Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston
Kupitia ukurasa wake instagram hitmaker huyo wa single ‘Adela’ ameshare picha akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandika
‘Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston#TANZANIA #Jamaica