Tailor Swift awachallenge watangazaji wa radio, watasafisha madirisha ya ghorofa refu zaidi wakishindwa


Tailor Swift ameanzisha challenge ya aina yake katika kampeni ya kuchangia pesa kwa ajili ya watoto wenye matatizo na vijana wadogo.

Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amepanga kuwachallenge watangazaji wa Capital Radio, Dave Berry na Lisa Snowdon kuchangia pesa na amesema atakayechangia kiasi kidogo zaidi atasafisha madirisha ya ghorofa revu zaidi Ulaya Magharibi.
“I have a little challenge for you. I want one of you to wash the windows. Easy you think - but I've arranged for you to do it at the top of the tallest building in the UK ... the Shard! The person that raises the least money between now and then will have to do it. See you there on the 9th.”
Mtangazaji Lisa ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa muigizaji wa Hollywood George Clooney ameeleza jinsi alivyoipokea kwa hofu challenge hiyo na kueleza kuwa atajitahidi kukwepa adhabu hiyo.

Popular Posts