Tyga Atoa Ya Moyoni Kuhusu Kushikiliwa Mateka Na YMCMB,
Rapper
wa Young Money ‘Tyga’ ametumia twitter kutoa ya moyoni kuhusu record
lebel yake ya YMCMB na kusema anashikiliwa mateka na uongozi wao.
Tyga anasema album yake mpya ya Gold ipo tayar ila lebel yake haitaki itoke muda huu. Tyga aliendelea kuponda Muziki unavyoendeshwa Marekani na baadae akamponda manager wa Young Money Mack Maine.
Hizi Ndio twit zake.