hizi Nyimbo Tano Kubwa Zaidi Kwenye Maisha Ya Muziki Wa T.I, Anasema Ilikuwa Ngumu Kuzitaja.

Rapper T.I. aliyeweka historia kwenye muziki kupitia nyimbo zake kali na zenye misingi halisi ya hiphop amesema ilikuwa ngumu kutaja nyimbo zake tano kubwa zaidi kwenye maisha yake ya muziki,
Hizi ndio nyimbo tano kubwa zaidi kwa T.I .

1] Rubberband Man kutoka kwenye album ya Trap Muzik ya mwaka 2003
2] Whatever You Like kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka 2008
3] Swagga Like Us Ft Jay Z, Lil Wayne na Kanye West kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka 2008
4] Live Your Life Ft Rihanna kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka  2008
5] No Mediocre Ft Iggy Azalea kutoka kwenye album ya Paperwork: The Motion Picture 2014 ya mwaka 2014.

Popular Posts