BARCA NDANI YA MANCHESTER


Barcelona wamewasili mjini Manchester tayari kwa mechi yao ya kwanza ya Champions League ya timu 16 dhidi ya Manchester City siku ya Jumanne. Messi ameonekana kupata ulinzi wa ziada kutoka kwa polisi mara baada ya kuwasili.

Popular Posts