CHELSEA KUKATA RUFAA
Chelsea watakata rufaa kupinga kadi nyekundu aliyooneshwa Nemanja Matic katika mchezo dhidi ya Burnley siku ya Jumamosi uliomalizika kwa 1-1. Kiungo huyo kutoka Serbia, alioneshwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma Ashley Barnes, baada ya kukabwa na mshambuliaji huyo wa Burnley. Chelsea wana hadi saa kumi (Afrika Mashariki) siku ya
Jumanne kuwasilisha ushahidi wao mbele ya Chama cha Soka cha England, FA. Matic atakosa mechi ya fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Tottenham siku ya Jumapili, iwapo rufaa hiyo itakataliwa. Pia atakosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya West Ham na Southampton, iwapo atatumikia adhabu hiyo.
Orodha ya kadi nyekundu zilizotolewa kwa vilabu vya EPL. (Kadi za manjano kwenye mabano). Takwimu hizi ni hadi Februari 23 2015.
Aston Villa 6 (52)
Swansea 5 (38)
Hull City 4 (52)
Manchester United 4 (50)
Leicester City 4 (41)
Tottenham 3 (55)
Newcastle United 3 (50)
Chelsea 3 (46)
Crystal Palace 3 (39)
Manchester City 2 (58)
Arsenal 2 (57)
QPR 2 (51)
Everton 2 (50)
West Ham United 2 (44)
Southampton 2 (41)
Sunderland 1 (65)
Liverpool 1 (49)
West Bromwich Albion 1 (43)
Stoke 0 (56)
Burnley 0 (46)
Aston Villa 6 (52)
Swansea 5 (38)
Hull City 4 (52)
Manchester United 4 (50)
Leicester City 4 (41)
Tottenham 3 (55)
Newcastle United 3 (50)
Chelsea 3 (46)
Crystal Palace 3 (39)
Manchester City 2 (58)
Arsenal 2 (57)
QPR 2 (51)
Everton 2 (50)
West Ham United 2 (44)
Southampton 2 (41)
Sunderland 1 (65)
Liverpool 1 (49)
West Bromwich Albion 1 (43)
Stoke 0 (56)
Burnley 0 (46)