HAZARD AONDOKA CHELSEA


Thorgan Hazard, mdogo wake Eden Hazard wa Chelsea ameingia mkataba wa kubadili uhamisho
wake wa mkopo katika klabu ya Borussia Munchengladbach ya Ujerumani, kuwa wa kudumu ifikapo mwisho wa msimu huu. Thorgan Hazard, 21 ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2012, amesaini mkataba na timu hiyo ya Ujerumani hadi 2020.

Popular Posts