Rappers saba wasio na tattoo na wenye tattoo chache zaidi.
Kwenye hiphop imekuwa kama tamaduni kuwa na tattoo huku ikionekana kila rapa kuwa na tattoo yenye maana flani kwenye mwili wake, Hawa ni rapa sababa wasiona tattoo.
- T.I Hajawai kuonekana na Tattoo ya Ukweli, ila aliwahi kuchora tattoo feki ili kuigiza filamu.
- chance the rapper Hana Tattoo kabisa
- Childish-Gambino Pia hana Tattoo