wachezaji na makocha wanaoingiza pesa nyingi zaidi kwa mwaka.
Hii ni taarifa Kutoka jarida la soka nchini Ufaransa lililotoka hivi karibuni,hawa ndio wanasoka na makocha matajiri duniani na hivi ndiyo viwango vya pesa wanavyoingiza kwa mwaka kutokana na mishahara na matangazo mbalimbali.