lil wyne abadilisha mixtape ya young thug
young Thug amebadilisha jina la album yake ambayo awali ilipewa jina Carter 6 baada ya kufunguliwa mashtaka ya kutumia jina la album ya Lil Wayne.
Young Thug ametangaza rasmi kuwa album yake itaita Barter 6 “B” ikiwa ni blood.
Young Thug alisema “Can’t name the mixtape Carter 6 ’cause these fk-ass nias tryna sue, just like some hoes,”“Big ol’ blood, so I’m going Barter 6. On the f**king way.” Alisema kwenye video ya instagram.