Sababu ya kuachana kwa Big Sean na Ariana Grande

Wanasema marafiki wakiwa wapenzi basi ni ngumu kuachana, well Big Sean na Ariana Grande wameachana baada ya miezi nane kwenye mahusiano.

Watu wa karibu na wapenzi hawa wamesema sababu za kuachana kwa wapenzi hawa ni ” Tabia za kitoto za Ariana Grande na matumizi mabaya ya pesa ” . Big Sean aliyelelewa kwenye mazingira ya kimasikini aliona ngumu sana kukodisha ndege kwenda kumuona mpenzi wake kila mara anavyotaka na kununua zawadi za pesa nyingi bila sababu.
Inasemekana Big Sean ndiye alijituma zaidi kuboresha mahusiano yao kuliko Ariana.

Popular Posts