Picha,Weusi wakesha studio kurekodi wimbo na Aka wa Afrika Kusini.
Rapa Joh Makini akiwa na G Nako na Nikki wa Pili walikesha studio usiku wa kuamkia leo wakirekodi wimbo na rapa Aka kutoka Afrika kusini. Collabo hii
imetayarisha na producer wawili ambao ni Nahreel kwa upande wa beat na Tudd Thomas.
Aka alikubali kufanya collabo baada ya kusikilizishwa nyimbo za Joh Makini ambaye aliambiwa ni mwiongoni mwa rapa wakali Tanzania.